Home Kaunti Matukio ya Taifa: Rais Ruto aagiza wafanyakazi wa umma kuongezewa Mshahara

Matukio ya Taifa: Rais Ruto aagiza wafanyakazi wa umma kuongezewa Mshahara

0
kra

Katika hotuba yake wakati wa sherehe za 59 za Siku ya Kimataifa ya Wafanyakazi katika bustani ya Uhuru jijini Nairobi, Rais Ruto alimwagiza Waziri wa Wafanyakazi Florence Bore kuongoza mchakato wa kuongeza kima cha chini cha mshahara kwa angalau asilimia sita.

kra