KWENYE MAKALA YA MATUKIO HII LEO…..
- Serikali yaombwa kuondoa ushuru wa dawa za kukabiliana na makali ya magonjwa sugu kama hatua ya kupunguza gharama ya matibabu.
- Raila awarai wafwasi wake kutokuwa na wasiwasi anapowinda nafasi ya mwenyekiti muungano wa umoja wa Afrika.
- uzalishaji wa taka ngumu unatarajiwa kuongezeka kutoka tani bilioni 2.3 mnamo 2023 hadi tani bilioni 3.8 ifikapo 2050 kulingana na data kutoka kwa utafiti wa usimamizi wa taka ulimwenguni.