Home Kaunti Matukio ya Taifa: Pendekezo la kupunguza gharama ya maisha lazua hisia mseto

Matukio ya Taifa: Pendekezo la kupunguza gharama ya maisha lazua hisia mseto

0
kra

Siku moja baada ya kamati ya mazungumzo ya kitaifa kuzindua ripoti yake yenye mapendekezo kadhaa; pendekezo la kupunguza gharama ya maisha limezua hisia tofauti kutoka kwa baadhi ya Wakenya.

Meza ya Matukio ya taifa juma hili itapiga msasa mapendekezo yote 13 yaliyowasilishwa na kamati hiyo ili kubaini iwapo yana umuhimu wowte kwa wakenya na iwapo kweli yanaweza kushughulikiwa. Mwanahabari wetu leo anatathmin mapendekezo ya kupungzwa kwa gharama ya maisha na usafiri wa nje.

kra

 

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts