Home Vipindi Matukio ya Taifa: Nia yangu ni kuleta mabadiliko ya kudumu asema Rais...

Matukio ya Taifa: Nia yangu ni kuleta mabadiliko ya kudumu asema Rais Ruto

0

Rais William Ruto amewahakikishia Wakenya mambo ya muda mrefu na mazuri zaidi akiangazia kwamba lengo la Serikali ni kubadilisha nchi kwa manufaa ya watu na kufanya vizazi vijavyo kustawi