Home Vipindi Matukio ya Taifa: Naibu Rais asema serikali kuu haitatoa fedha zaidi kwa...

Matukio ya Taifa: Naibu Rais asema serikali kuu haitatoa fedha zaidi kwa kaunti kukabili mafuriko

0

Naibu Rais amesema serikali kuu haitatoa fedha kwa serikali za kaunti na kwamba kaunti zinafaa kutumia mfuko wake wa fedha katika kukinga wananchi na makali ya mafuriko yanayosababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts