Home Vipindi Matukio ya Taifa : Mwanafunzi atembea kilomita 40 kuomba nafasi ya kujiunga...

Matukio ya Taifa : Mwanafunzi atembea kilomita 40 kuomba nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza

0

Mwanafunzi mmoja wa kike alilazimika kutembea kwa takriban kilomita 40 hadi katika shule ya upili ya wasichana ya St. Marys kuomba mwalimu mkuu kumruhusu kujiunga na kidato cha kwanza.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts