Home Vipindi Matukio ya Taifa: Msemaji wa serikali asema mgomo wa madaktari ni kinyume...

Matukio ya Taifa: Msemaji wa serikali asema mgomo wa madaktari ni kinyume cha sheria

0

Msemaji wa serikali Isaac Mwaura amewataka madaktari kurejea kazini na kusitisha mgomo wao ambao umeingia wiki ya tatu akisema kuwa mgomo huo ni kinyume cha sheria

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts