Home Vipindi Matukio ya Taifa : Mkuu wa wauguzi Nairobi asema majukumu yameongezeka kwa...

Matukio ya Taifa : Mkuu wa wauguzi Nairobi asema majukumu yameongezeka kwa wauguzi, madaktari wakigoma

0

Mkuu wa wauguzi tawi la Nairobi Boaz Onchari amesema wauguzi humu nchini wana mzigo mkubwa wa kuwashughulikia wagonjwa hasa wakati huu madaktari wanapoendelea na mgomo wao.