Home Vipindi Matukio ya Taifa: Magavana watishia kuwapiga kalamu madaktari wanaogoma

Matukio ya Taifa: Magavana watishia kuwapiga kalamu madaktari wanaogoma

Mgomo wa madaktari umeingia siku ya 30.

0

Baadhi ya magavana humu nchini wametishia kuwafuta kazi madaktari ambao wanaendelea na mgomo wao ambao umeingia siku ya 30 hii leo. Hata hivyo madaktari wamesema hawatarudi kazini hadi pale serikali itakapotimiza matakwa yao.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts