Home Habari Kuu Matukio ya Taifa: Kenya na Jamhuri ya Czech zatia saini mkataba wa...

Matukio ya Taifa: Kenya na Jamhuri ya Czech zatia saini mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi

0

Katika kikao na wanahabari katika Ikulu ya Nairobi, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Czech Petr Fiala na mwenyeji wake Rais William Ruto, walisema makubaliano hayo yatapanua biashara za bidhaa za Kenya kama vile kahawa.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts