Home Vipindi Matukio ya Taifa: Kamati ya maridhiano yakamilisha zoezi la kupokea maoni

Matukio ya Taifa: Kamati ya maridhiano yakamilisha zoezi la kupokea maoni

0

Kamati ya mazungumzo ya maridhiano ya pande zote mbili imekamilisha zoezi la kupokea maoni kutoka kwa wananchi.

Tume hiyo sasa inatarajiwa kuanza zoezi la kupekua maoni hayo na kutoa ripoti kamili. Haya yanajiri wakati  Askofu mkuu wa kanisa la katoki jimbo la nairobi philip Anyolo  amepongeza mkondo wa kuwepo  mazungumzo. 

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts