Home Vipindi Matukio ya Taifa: Juhudi za kuwatafuta waliosombwa na mafuriko Makueni zingali zinaendelea

Matukio ya Taifa: Juhudi za kuwatafuta waliosombwa na mafuriko Makueni zingali zinaendelea

Kufikia sasa miili mitatu imepatikana huku viongozi wakitoa onyo kwa wenyeji kuasi kufuka mito iliyofurika.

0

Juhudi za kuwatafuta watu 7 waliosombwa na maji ya mto Muooni katika kaunti ya makueni zingali zinaendelea huku likiongozwa na maafisa wa msalaba mwekundu wakishirikiana na kaunti ya makueni. Kufikia sasa miili tatu imepatikana huku viongozi wakitoa onyo kwa wenyeji kuasi kufuka mito iliyofurika.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts