Home Vipindi Matukio ya Taifa: Halmashauri ya NCA yazindua kampeni ya kuhamasisha Usalama

Matukio ya Taifa: Halmashauri ya NCA yazindua kampeni ya kuhamasisha Usalama

0

Mamlaka ya Kitaifa ya Ujenzi (NCA) imezindua kampeni ya mwezi mmoja kote nchini inayolenga kuhamasisha umma kuhusu usalama kwenye  sekta ya ujenzi.