Home Vipindi Matukio ya Taifa: Magavana wataka mjadala wa kubadilisha sheria ya kung’atuliwa madarakani...

Matukio ya Taifa: Magavana wataka mjadala wa kubadilisha sheria ya kung’atuliwa madarakani ufanywe upesi

Mwenyekiti wa baraza hilo Anne Waiguru amepongeza bunge la seneti kwa kutupilia mbali hoja ya kutaka kumbandua madarakani gavana kawira mwangaza

0

Baraza la Magavana linalitaka bunge la kitaifa kuharakisha kujadili mabadiliko ya sheria ya kubanduliwa afisini kwa magavana miongoni mwa masuala mengine hususan ya afya yaliyo mbele yake kuhakikisha wanahudumu katika mazingira mazuri.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts