Home Vipindi Matukio ya Taifa: Baa zafungwa na wamiliki kukamatwa Elgeyo Marakwet

Matukio ya Taifa: Baa zafungwa na wamiliki kukamatwa Elgeyo Marakwet

0

Baa kadhaa zimefungwa na wamiliki wake kukamatwa na kufikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka huku serikali ikizidisha vita dhidi ya pombe haramu Kaunti ya Elgeyo Marakwet.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts