Home Vipindi Matukio ya Taifa: Asilimia 50 ya matokeo ya watahiniwa wa KCSE si...

Matukio ya Taifa: Asilimia 50 ya matokeo ya watahiniwa wa KCSE si ya Kuridhisha

0

Asilimia 50 ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana walikosa kusajili matokeo yakuridhisha huku wengi wao wakipata alama ya kati ya D na E kulingana na matokeo yaliyotangazwa leo

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts