Home Vipindi Matukio ya Taifa: Ajali ya barabarani yaua mmoja na kujeruhi saba Kisumu

Matukio ya Taifa: Ajali ya barabarani yaua mmoja na kujeruhi saba Kisumu

Abiria mmoja amefariki na wengine saba kujeruhiwa vibaya baada ya kuhusika katika ajali kwenye barabara kuu ya  Bondo-Kisumu asubuhi ya leo.

0
Alama ya kuashiria kuna ajali: Picha - Rising Kashmir
kiico

Abiria mmoja amefariki na wengine saba kujeruhiwa vibaya baada ya kuhusika katika ajali kwenye barabara kuu ya  Bondo-Kisumu leo asubuhi.

 

kiico