Home Michezo Mashindano ya CECAFA kwa chipukizi yaanza Kisumu kwa Rwanda kuwakwatua Somalia

Mashindano ya CECAFA kwa chipukizi yaanza Kisumu kwa Rwanda kuwakwatua Somalia

0

Rwanda imeanza Makala ya mwaka huu ya michuano ya kombe la CECAFA kwa vijana walio chini ya umri wa miaka 18 kwa ushindi, baada ya kuwalaza Somalia bao moja kwa nunge katika pambano la kundi A lililosakatwa Jumamosi Adhuhuri.

Mechi hiyo iliandaliwa katika uchanjaa wa Mamboleo kaunti ya Kisumu .

Mataifa manane ya Afrika Mashariki mashariki yanashiriki na yanaandaliwa katika viwanja vya Bukhungu kaunti ya Kakamega na Mamboleo kaunti ya Kisumu huku fainali yake ikipigwa Disemba 2.

Website | + posts