Home Habari Kuu Marais wa Comoros na Jamhuri ya Afrika ya Kati wawasili Nairobi...

Marais wa Comoros na Jamhuri ya Afrika ya Kati wawasili Nairobi kwa kongamano la IDA21

0
Rais wa ComorosAzali Assoumani

Rais wa Comoros Azali Assoumani na mwenzake wa Jmahuri ya Afrika ya Kayti Faustin Archange Touadera, wamewasili Nairobi Jumapili tayari kwa kongamano la kimataifa la Marais wa Afrika, IDA21 litakaloandaliwa Jumatutu katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano KICC.

Kongamano hilo la kiuchumi linaandaliwa na Benki ya Dunia na linajiri wakati mataifa mengi ya Afrika yanakabiliwa na changamoto ya kifedha  za aidha kufufua uchumi au kustawisha uchumi.

Rais wa Jamhuri Faustin Archange Touadera akiwasili Kenya

International Development Association(IDA) hutoa asilimia 70 ya mikopo nafuu kwa mataifa wanachama wa Benki ya Dunia na pia ruzuku ,kuyawazesha mataifa kuwekeza katika miradi ya kuinua jamii.

 

Website | + posts