Home Michezo Manchester United yamnyatia Amrabat

Manchester United yamnyatia Amrabat

Yamkini meneja wa Madrid Diego Simeone anapania kumsajili Pierre-Emile Hojbjerg,wa Tottenham badala ya Amrabat.

0

Manchester United wamejitosa kwenye kinyang’anyiro cha kiungo mkabaji wa Fiorentina Sofyan Amrabat wa Morocco.

Amrabat aliye na umri wa miaka 26 anapania kukata tamaa na Atletico Madrid ambao wanawinda huduma zake katika msimu wa sasa wa uhamisho.

Yamkini meneja wa Madrid Diego Simeone anapania kumsajili Pierre-Emile Hojbjerg wa Tottenham badala ya Amrabat.

Amrabat alisakata mechi 34 za serie A msimu uliopita na pia alitia fora katika fainali za Kombe la Dunia nchini Qatar akiwa na Atlas Lions.

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here