Home Michezo Manchester City wakaribia kumtwaa Kovacic

Manchester City wakaribia kumtwaa Kovacic

Chelsea inakabiliwa na shinikizo la kuwauza wachezaji ili kupata hela za kununua wachezaji zaidi

0
kra

Mabingwa wa ligi kuu Uingereza Manchester City wanakaribia kukamilisha usajili wa kiungo wa Chelsea Mateo Kovacic kwa ada ya pauni milioni 34 nukta 2 .

Imebainika kuwa mazungumzo baina ya klabu ya Chelsea na Mancity yanendelea vyema huku pande zote zikitazamiwa kuafikiana .

kra

Chelsea inakabiliwa na shinikizo la kuwauza wachezaji ili kupata hela za kununua wachezaji zaidi