Home Vipindi Makala Spesheli: Hazina ya Hustler imewafaidi vipi wafanyabiashara?

Makala Spesheli: Hazina ya Hustler imewafaidi vipi wafanyabiashara?

0

Mwaka huu ulishuhudia kiwango cha juu cha uboreshaji na uinuaji wa biashara ndogo ndogo nchini baada ya kuanzishwa kwa hazina ya ujumuishaji wa kifedha almaarufu Hustler Fund mwezi Novemba mwaka jana.

Tunapomaliza mwaka, tunaangalia baadhi ya hatua zilizopigwa hadi sasa na wafanyabiashara wadogo na wa kati tangu kuanzishwa kwa hazina hiyo.

Mwanahabari wetu Austin Mirambo ameandaa kipindi hiki maalum kuhusu Hazina ya Hustler.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts