Home Habari Kuu Mahakama Kuu yadinda kusitisha utekelezaji wa sheria ya fedha mwaka 2023

Mahakama Kuu yadinda kusitisha utekelezaji wa sheria ya fedha mwaka 2023

0

Mahakama Kuu ya Kenya imedinda kusimamisha utekelezaji wa sehemu ya sheria katika sheria ya fedha ya mwaka 2023.

Seneta wa Busia Okiya Omtatah kwenye kesi yake pamoja na wakereketwa wengine walikuwa wameitaka mahakama kusitisha utekelezaji wa sheria hiyo mpya.

Majaji hao wameanza kusikiza kesi ya pamoja inayopinga utekelezaji wa sheria hiyo.

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here