Home Michezo Mahabila aishindia Kenya shaba michezo ya ufukweni Afrika

Mahabila aishindia Kenya shaba michezo ya ufukweni Afrika

Mahabila ametwaa shaba hiyo katika shindano la uzani wa kilo 80 kwa wanaume alipomshinda Khaireddine Ben Tlili wa Tunisia pointi 4-2 .

0
kra

Mchezaji miereka Mathayo Mahabila ameishindia Kenya nishani ya shaba katika michezo ya Afrika ya ufukweni inayoendelea mjini Hammamet Tunisia .

Mahabila ametwaa shaba hiyo katika shindano la uzani wa kilo 80 kwa wanaume alipomshinda Khaireddine Ben Tlili wa Tunisia pointi 4-2 .

kra

Mahabila amesema kuwa ushindi huo unampa motisha anapolenga kufuzu kwa michezo ya olimpiki ya mwaka ujao jijini Paris,Ufaransa.

Nishani hiyo ilikuwa ya tatu kwa Kenya katika makala ya mwaka huu kuwa tatu.

Website | + posts