Home Michezo Magut na Limo wadedea Nairobi city marathon

Magut na Limo wadedea Nairobi city marathon

0
kra

Eliud Magut na Cynthia Limo ndio mabingwa wa makala ya tatu ya mbio za Nairobi City marathon zilizoandaliwa Jumapili.

Magutaliziparakasa kwa saa dakika 9 na sekunde 47, akifuatwa na Josphat Kipkoech na Emmanuel Sikuku kwa saa 2 dakika 10 na sekunde 1 na saa 2 dakika 10 na sekunde 10 mtawalia.

kra

Cynthia Limo aliibuka kidedea katika mbio za wanawake kwa saa 2 dakika 28 na sekunde 2,akifuatwa na Lillian Chebii, katika nafasi ya pili kwa saa 2 dakika 2 dakika 28 na sekunde 29, huku Peris Jerono akihitimisha tatu bora kwa saa 2 dakika 30 na sekunde 44.

Wanariadha 752 walishiriki mbio wanaume huku 240 wakitimka mbio za wanawake.

Website | + posts