Klabu ya Magereza kutoka Kenya iliiishia kunawa kwenye juhudi zake za kufuzu kwa fainali ya kuwania taji ya Voliboli barani Afrika kwa wanaume Jumatatu jioni jijini Cairo Misri.
Magereza walinyukwa seti tatu bila na Maloudia Sportive De Bou Salem ya Tunisia seti 3 kwa bila katika nusu fainali hiyo ya jana kwa seti za25-13,25-15 na 25-22.
Awali Magereza wakifuzu kwa fainali baada ya kuwagaragaza Wakenya wenza Kenya Ports Authority seti 3-1,watarejea uwanjani kwa mchuano wa kuwania nafasi ya 3.
[contact-form][contact-field label=”Name” type=”name” required=”true” /][contact-field label=”Email” type=”email” required=”true” /][contact-field label=”Website” type=”url” /][contact-field label=”Message” type=”textarea” /][/contact-form]