Home Vipindi Jitegemee: Mafunzo yahitajika kukinga mila na tamaduni zinazokandamiza kina mama

Jitegemee: Mafunzo yahitajika kukinga mila na tamaduni zinazokandamiza kina mama

0

Asilimia 26% ya akina mama wanafanya biashara ila asilimia 70 hawana mali ya kuwakimu kutokana na dhuluma za kijinsia zinazowakabili.

Mafunzo na elimu ya kuwasaidia kina mama inahitajika kuwasaidia kuzinduka kutoka mila na tamaduni za kuwakandamiza.

Mama si mama tu! Tunapoangazia maendeleo ya wanawake, angazia kila mmoja katika jinsia ya kike.

 

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts