Home Habari Kuu Mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chonga aachiliwa huru

Mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chonga aachiliwa huru

Madzayo na Chonga waliokamatwa wiki jana kwa tuhuna za kuongoza maandamano ya upinzani wameachiliwa pamoja na spika wa kaunti ya Kilifi Teddy Mwambire na msaidizi wake Victor Katana na msaidizi wa seneta Madzayo Patrick Charo.

0

Mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chonga na seneta wa kaunti hiyo Stewart Madzayo ,wameachiliww huru kwa dhamana ya shilingi 50,000 kila mmoja.

Madzayo na Chonga waliokamatwa wiki jana kwa tuhuna za kuongoza maandamano ya upinzani wameachiliwa pamoja na spika wa kaunti ya Kilifi Teddy Mwambire na msaidizi wake Victor Katana na msaidizi wa seneta Madzayo Patrick Charo.

Haya yanajiri huku muungano wa upinzani Azimio la Umoja ukiitisha maandamano mengine Jumatano wiki hii kulalama gharama ya juu ya maisha .

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here