Home Habari Kuu Mackenzie kubaini hatima yake Jumatatu

Mackenzie kubaini hatima yake Jumatatu

Mamia ya watu wengine wanadaiwa kupotoshwa kupitia kwa mahubiri potovu katika kanisa la Mackenzie.

0
Self-proclaimed pastor Paul Nthenge Mackenzie, who set up the Good News International Church in 2003 and is accused of inciting cult followers to starve to death "to meet Jesus", appears in the dock at the court in Malindi on May 2, 2023. - A Kenyan pastor appearing in court on May 2, 2023 will face terrorism charges, prosecutors said in connection with the deaths of over 100 people found buried in what has been dubbed the "Shakahola forest massacre". The deeply religious Christian-majority country has been stunned by the discovery of mass graves last month in a forest near the Indian Ocean coastal town of Malindi. (Photo by SIMON MAINA / AFP)

Mshukiwa mkuu katika vifo vya mamia ya watu eneo la Shakahola Paul Mackenzie na washirika wengine 29, wanatarajiwa kubaini hatima yao leo Jumatatu wakati wa kusikizwa kwa kesi yao na mahakama ya Mombasa.

Mackenzie amekuwa kizimbani tangu mwezi Aprili mwaka huu kwa madai ya kusababisha vifo vya watu zaidi ya 400 waliokuwa washirika wa kanisa lake la Goodlife International kupitia kwa mafunzo ya imani potovu.

Mamia ya watu wengine wanadaiwa kupotoshwa kupitia kwa mahubiri potovu katika kanisa hilo la Mackenzie.

Website | + posts