Home Habari Kuu Kongamano la nane la ugatuzi kufungwa Ijumaa

Kongamano la nane la ugatuzi kufungwa Ijumaa

0
Rais William Ruto.

Kongamano la nane la ugatuzi nchini litafubgwa rasmi Ijumaa na naibu Rais Rigathi Gachagua mjini Eldoret gatuzi la Uasin Gishu.

Kongamano ambalo sasa litakuwa likiandaliwa kila baada ya miaka miwili, linajadili maendeleo yaliyoafikiwa katika mwongo mmoja tangu kuasisiwa kwa ugatuzi,chamgamoto zinazokabili ugatuzi na fursa za kibiashara zilizopo kwenye kaunti zote 47 nchini.

Kongamano hilo lilifu guliwa rasmi na Rais William Ruto siku ya Jumanne.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here