Home Michezo Kipyegon na Chebet wafuzu kwa Olimpiki mita 5 000

Kipyegon na Chebet wafuzu kwa Olimpiki mita 5 000

0
kra

Bingwa wa Olimpiki  Faith Kipyegon na Beatrice Chebet wamefuzu kwa michezo ya Olimpiki  baada ya kumaliza katika nafasi mbili za kwanza za fainali ya mita 5,000 katika siku ya kwanza ya majaribio ya kitaifa ya Olimpiki uwanjani Nyayo.

Kipyegon alijizatiti akistahimili ukinzani mkali kutoka kwa bingwa mara wa dunia katika mbio za nyika Chebet na kuzikamilisha kwa dakika 14 sekunde 46.28,akifuatwa na Chebet kwa dakika 14 sekunde 52.55, huku Margaret Chelimo akichukua nafasi ya tatu kwa dakika 14 sekunde 59.39.

kra

Hata hivyo mibabe kadhaa walionyeshwa kivumbi ,bingwa  wa dunia na Olimpiki Emmanuel Korir akimaliza katika nafasi ya 6, kwenye nusu fainali ya mita 800, huku mshini wa nishni ya fedha ya olimpiki Ferguson Rotich  akiambulia nafasi ya 4.

Website | + posts