Home Michezo Kiprop atwaa ubingwa wa Athens Marathon

Kiprop atwaa ubingwa wa Athens Marathon

0

Mkenya Edwin Kiprop Kiptoo ametwaa ubingwa wa makal ya 40 ya mbio za Athens Marathon zilizoandaliwa Jumapili nchini Ugiriki.

Kiprop ameziparakasa  mbio hizo kwa saa 2 dakika 10 na sekunde 34, akifuatwa na Rhonzas Lokitam  kwa saa 2 dakika 12 na sekunde 36.

Sukaina Atanane wa Ethiopia  alishinda mbio za wanawake kwa saa 2 dakika  31 na sekunde 53,akifuatwa na Caroline Jepchirchir  wa Kenya amechukua nafasi ya pili kwa saa 2 dakika 32 ma sekunde 19.

Website | + posts