Home Vipindi Kipindi cha ‘Chipukeezy Show’ kuanza Septemba 11, 2023

Kipindi cha ‘Chipukeezy Show’ kuanza Septemba 11, 2023

0

Kipindi cha Chipukezzy, chake Vincent Mwasia , kinarudi tena kwenye runinga baada ya mapumziko ya miaka 2. Kipindi hiki kitapeperushwa katika kituo cha televisheni cha KBC, kuanzia Jumatatu ijayo.

 

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts