Home Michezo Kipenga cha Kabumbu: Manchester United yakandwa na Spurs mawili kwa sufuri

Kipenga cha Kabumbu: Manchester United yakandwa na Spurs mawili kwa sufuri

0
Yves Bissouma wa Spurs akimbiza mpira mbele huku Bruno Fernandes akimwekea presha wakati wa mchezo wa Ligi ya Uingereza kati ya Man United dhidi ya Spurs. (Picha: Julian Finney/Getty Images)

Klabu ya Tottenham hotspurs imeibuka washindi baada ya kuipokeza klabu ya Manchester United kichapo cha mabao 2-0 katika mchezo ambao United ilishindwa kustahimili mawimbi ya vijana wa Ange Postecoglou ambao walikuwa wametulia katika safu ya ushambuliaji iliyoshikana zaidi na walihitaji dakika nne tu za kipindi cha pili kupata bao la kuongoza.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here