Home Michezo Kikosi cha Rising Stars chatajwa

Kikosi cha Rising Stars chatajwa

0

Kikosi cha timu ya tafa ya Kenya kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 20 al maarufu Rising Stars cha wanandinga 35 kimetajwa Jumatu kikijumuisha wachezaji 35.

Wachezaji hao wanajumuisha wanaosakata soka humu nchini na wale wa ughaibuni kama ifuatavyo.

Walinda Lango.
1.Kevin Alloys -Mathare United.
2. Issa Emuria -Ulinzi Stars.
3. Joshua Keya -Rainbow.
4.Junior Odhiambo -Migori Youth.
5.Ibrahim Wanzala -Kakamega Homeboyz.

Mabeki
1. Mansur Okwaro – Unattached.
2. Collins Ochieng – Kariobangi Sharks.
3. Nesta Olum – AFC Leopards.
4. Sigmun Maina – Kariobangi Sharks.
5. Paul Ochuoga – Gor Mahia.
6. Faiz Opande – Elite Falcon, Dubai.
7. Daniel Odhiambo – Mombasa Elite.
8. Joseph Bate – MOFA.
9. Grant Odiero – Mombasa Elite.
9. Amos Wanjala – Nastic Sports Academy.
10. Junior Masinza – Kakamega Homeboyz.
11. Baron Ochieng – Sofapaka.
12. Francis Kamau – Bidco United.,
13. Fidel Otieno – Mathare United.

Kiungo
14. Lucas Maina – Ulinzi Stars.
15.Aldrine Kibet -Nastic Sports Academy.3. Stanley Wilson – AIK, Sweden.
16. Benard Ouma – Nairobi United FC.5. Hamisi Otieno – Homabay.
17. Elly Owade -Migori Youth.
18. Andreas Onyango -Kariobangi Sharks.
19. Ryan Wesley – Rainbow.9. Kevin Wangaya – Apollonia FC, Albania.
20. Kelly Madada – AFC Leopards.
21. Brian Kamau – Rainbow.
22. Zechariah Obiero – Leyton Onorient FC.
23. Linus Munyao -Rainbow.

Washambulizi.
24. Syphas Otieno – MOFA.2. Tyron Kariuki – Rainbow.
25 Javan Omondi – Ulinzi Stars.
26. Christopher Koloti – AFC Leopard.
27. Delphine Omuri – Shabana.
28. Oliver Machaka – Kakamega Homeboyz.
29. James Gachago – St Andrew’s United.
30. Louis Ingavi – Montvarde Academy, USA.
31. Hassan Beja – AFC Leopards.
32. Brian Mboya – Bidco United.
33. Adrian Oloo – Nairobi United.
34. Clinton Asiago – Bidco United.14. Mark Shaban – Gor Mahia.
35. Umar Rajab -Apollonia FC, Albania.

Boniface Musotsi
+ posts