Home Kimataifa Kibiwot abugia shaba huku Mwarabu akiwatesa Wakenya Olimpiki ya Paris

Kibiwot abugia shaba huku Mwarabu akiwatesa Wakenya Olimpiki ya Paris

0
kra

Katika makala ya pili mtawalia, Kenya ilizidiwa maarifa kwenye fainali ya mbio za mita 3,000 kuruka viunzi na maji kwa upande wa wanaume kwenye Michezo ya Olimpiki jijini Paris, Ufaransa.

Kenya ilipoteza taji hiyo mwaka 2021 mjini Tokyo nchini Japani kwa Soufiane El Bakkali kutoka Morocco, baada ya kushinda dhahabu kumi mtawalia.

kra

Hata hivyo, licha ya ushindani mkali, El Bakkali alifanikiwa kutetea taji hiyo Jumatano usiku.

Keneth Rooks wa Marekani alibugia fedha huku Abraham Kibiwot wa Kenya akinyakua medali ya shaba.

 

Website | + posts