Home Michezo Kenya yatwaa nishani ya fedha michezo ya ufukweni Afrika

Kenya yatwaa nishani ya fedha michezo ya ufukweni Afrika

Vidosho wa Kenya walipoteza mabaoa 3-1 dhidi wenyeji Tunisia ,kupitia penati kufuatia sare ya goli 1-1.

0

Timu ya Kenya ya mpira wa mikono kwa wanawake ilinyakua nishani ya fedha katika michezo ya ufukweni mjini Hammamet,Tunisia.

Vidosho wa Kenya walipoteza mabaoa 3-1 dhidi wenyeji Tunisia kupitia penalti kufuatia sare ya goli 1-1.

Matokeo ya mwaka huu yalikuwa bora kwa vipusa wa Kenya waliomaliza katika nafasi ya nne mwaka 2019 katika makala ya kwanza.

Timu ya wanaume pia ilijizatiti na kumaliza katika nafasi ya tano, ikiimarika kutoka nafasi ya 9 mwaka 2019.

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here