Home Michezo Kenya yatimuliwa na Morocco mashindano ya FIBA Afrocan

Kenya yatimuliwa na Morocco mashindano ya FIBA Afrocan

Kenya Morans walichakazwa robo mbili za mwanzo pointi 17-10 na na 17-12 na Almagribiya kabla ya kugutuka na kushinda robo ya tatu 15 -9 lakini wakabweteka na kupota kwota mwisho alama 12 -19.

0

Morocco imeibwaga Kenya alama 65 kwa 55 katika mechi ya kwota fainali mashindano ya kombe la Afrika FIBA African nchini Angola.

Kenya Morans walichakazwa robo mbili za mwanzo pointi 17-10 na na 17-12 na Almagribiya, kabla ya kugutuka na kushinda robo ya tatu 15 -9, lakini wakabweteka na kupoteza kwota ya mwisho alama 12 -19.

Ushinde huo umezina ndoto ya Morans kuchez a nusu fainali na sasa itawalazimu kupiga mechi ya uorodheshaji tu.

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here