Home Michezo Kenya ,Uganda na Tazanzania wafungua mechi za kufuzu AFCON kwa sare

Kenya ,Uganda na Tazanzania wafungua mechi za kufuzu AFCON kwa sare

0
kra

Mataifa jirani ya Kenya ,Uganda na Tanzania yalisajili sare katika mechi za  ufunguzi hatua ya makundi kufuzu kwa fainali za kombe la AFCON mwaka 2025 nchini Morocco.

Taifa Stars ya Tanzania wakicheza nyumbani walitosa sare tasa katika kundi H huku pia Kenya na Zimbabwe, wakiambulia sare iyo hiyo katika kundi J.

kra

Ugamda Cranes walipoteza uongozi wa magoli 2-1 na kuambulia sare ya 2-2 ugenini dhidi ya Afrika Kusini katika kundi K.

Burundi ndio tu timu ya ukanda huu iliyopata ushindi ikiwalemea Malawi mabao 2-1 .

Website | + posts