Home Habari Kuu Kenya kumenyana na Qatar mechi ya kirafiki

Kenya kumenyana na Qatar mechi ya kirafiki

Timu ya taifa ya soka ya Kenya,Harambee Stars itamenyana na Qatar Alhamisi jioni katika mchuano wa kimataifa wa kirafiki.

0

Timu ya taifa ya soka ya Kenya,Harambee Stars itamenyana na Qatar Alhamisi jioni katika mchuano wa kimataifa wa kirafiki.

Pambano hilo litangóa nanga saa kumi na mbili na robo jioni katika uwanja wa Al Janub.

Kenya inatuamia mchuano huo kujiandaa kwa mechi za kundi F  kufuzu kw afainali za kombe la dunia mechi za makundi zikiratibiwa kuanza Novemba mwaka huu.

Harambee Stars imerushwa kundi moja la Fla kufuzu kwa kombe la dunia mwaka 2026 pamoja na Burundi,Ushelisheli,Ivory  Coast na Gabon .

Kenya ilifanya mazoezi  ya kwanza katika uwanja wa Al Janoub Jumatano usiku .

Website | + posts