Home Habari Kuu Kagame arai ushirikiano wa Mawaziri wake

Kagame arai ushirikiano wa Mawaziri wake

0
kra

Rais wa Rwanda Paul Kagame amewataka Mawaziri wake kushirikiana katika utendakazi wao. 

Amesema hatua hiyo itaisadia serikali yake kuafikia malengo yake ya  miaka mitano.

kra

Kagame alisema hayo mapema wiki hii aliposhuhudia kuapishwa kwa Mawaziri 21 pamoja na maafisa wengine 9 wa serikali.

Rais huyo alikula kiapo cha kuiongoza Rwanda kwa muhula mpya wa miaka mitano, baada ya kukamilisha mihula miwili ya miaka saba kila mmoja afisini.

Website | + posts