June Moi ,bintiye Rais mstaafu Moi afariki

Dismas Otuke
0 Min Read

June Chebet Moi bintiye Rais mstaafu hayati Daniel Moi amefariki akiwa na umri wa miaka 60.

Familia ya Moi imesema kuwa Chebet ameaga dunia mapema Alhamisi ingawa haijataja chanzo cha kifo hicho wala kutoa taarifa zaidi.

Chebet ni mmoja wa mabinti watatu wa Marehemu Rais Moi akiwa kitinda mimba kati ya wasichana watatu.

Familia ya Moi iliwajumuisha wana wa kiume watano na wa kike wa tatu.

Website |  + posts
TAGGED:
Share This Article