Home Vipindi Jitegemee: Nafasi ya wanaume katika kutetea haki za wanawake ni gani?

Jitegemee: Nafasi ya wanaume katika kutetea haki za wanawake ni gani?

0

Jamii inapopigia debe usawa wa kijinsia, wanaume wana nafasi gani katika kutetea haki za wanawake? Ndio baadhi ya maswali ila katika makala haya, Bi. EstherAmati ambaye ni mtaalam wa masuala ya maendeleo ya wanawake anafafanua jinsi ya kusaidia wanawake kuimarika katika sekta ya biashara na uongozi.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts