Home Vipindi Jitegemee: Je, Usajili wa Walio na Ulemavu umewafaidi walengwa ?

Jitegemee: Je, Usajili wa Walio na Ulemavu umewafaidi walengwa ?

0

Usajili wa watu walio na ulemavu ni mwongozo ulioainishwa kwenye sheria ya watu walio na ulemavu ya mwaka 2003. Aidha pamekuwepo na changamoto mbalimbali katika mchakato wa kuwasajili walengwa huku lalama zikiwa kuwa zoezi hilo halifanywi kwa uwazi na haki.

Bwana Isaac Simiyu Manyonge ni afisa mwandamizi wa huduma za watu walio na ulemavu katika idara ya usajili na ondoleo la ushuru katika baraza la kitaifa la watu walio na ulemavu ( Nationa Council for Persons with Disability).

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts