Home Michezo Jepchirchir awaongoza Wakenya kufagia medali za nusu marathon

Jepchirchir awaongoza Wakenya kufagia medali za nusu marathon

0

Peres Jepchir amewaongoza Wakenya kufagia nishani zote tatu za nusu marathon katika makala yta kwanza ya mbio za barabara ulimwenguni zilizoandaliwa Jumapili mjini Riga,Latvia.

Jepchirchir alinyakua ubingwa wa tatu wa nusu marathon akiziparakasa muda wa saa 1 dakika 7 na sekunde 25 ikiwa rekodi mpya ya mashindano hayo ya dunia.

Margaret Chelimo na Catherrine Reline wamefuatana katika nafasi za pili na tatu mtawalia.

Website | + posts