Mkewe Rais wa Uganda Ugandan Yoweri Museveni, aemetamngaza kuwa mkewe Janet Museveni anaugua ugonjwa wa Covid 19.
Kulingana na Rais Museveni mama Janet alianza kuhisi uchovu wakati wa siku kuu ya Krismasi na alipofanyiwa vipimo vya Covid 19 ikathibitishwa kuwa anaugua homa hiyo.
Bi Museveni ambaye pia ni waziri wa Elimu anapokea matibabu nyumbani.