Home Habari Kuu Jaji Majanja achaguliwa tena kuwa mwanachama wa JSC

Jaji Majanja achaguliwa tena kuwa mwanachama wa JSC

0

Jaji David Majanja amechaguliwa tena kuwa mwanachama wa Tume ya Huduma za Mahakama, JSC na atawakilisha Mahakimu na Chama cha Majaji nchini, KMJA kulingana na katiba ya Kenya.

Majanja aliongoza baada ya kupata kura 81 akifuatwa na Jaji James Olola kwa kura 47 huku Joram Abuodha akipata kura 9 pekee.

Jaji MajanJa alichaguliwa Mei 14 mwaka 2019 kwa muhula wa miaka mitano.

Website | + posts