Home Biashara IMF yaidhinisha mkopo wa shilingi bilioni 142.7 kwa Kenya

IMF yaidhinisha mkopo wa shilingi bilioni 142.7 kwa Kenya

0

Shirika la Fedha Duniani, IMF limeidhinisha mkopo wa shilingi bilioni 142.7 kwa Kenya.

Hata hivyo, Kenya italazimika kusubiri idhini ya mwisho kutoka kwa Baraza Kuu la Halmashauri ya IMF mwezi Januari mwakani kubaini endapo itapokea mkopo huo.

Mkopo wa IMF kwa Kenya ulifikia bilioni 335 kufikia mwezi Juni mwaka huu, ikiwa mara tatu zaidi ya deni la awali la mwezi Januari mwaka 2021.

Maafisa wa IMF wamekuwa nchini kukadiria mikakati iliyowekwa na serikali kuimarisha uchumi, kabla ya kuidhinisha mikopo zaidi.

Website | + posts