LATEST ARTICLES

Inspekta wa Polisi Koome atoa hakikisho la usalama kwa maafisa wa idara mahakama

0

_______________________________________________________________________ Inspekta Mkuu wa Polisi Japheth Koome, ametoa hakikisho la usalama kwa maafisa wote wa idara ya mahakama kote nchini. Koome ametoa taarifa hiyo kufuatia kuawa kwa Hakimu Mwandamizi Monica Kivuti Juni 13 na afisa wa Polisi . Haya yanajiri baada ya Mahakimu na Majaji kutangaza mgomo wa siku tatu kulalama ukosefu wa usalama mahakamani. Jaji Mkuu Martha Koome tayari ametangaza...

Rais Chakwera ahudhuria mazishi ya makamu Rais wake Chilima

0

Rais Lazurus Chakwera wa Malawi anawaongoza mamia ya maelfu ya waombolezaji wanaohudhuria mazishi ya makamu wake Saulos Chilima nyumbani kwake Ntcheu . Marehemu Chilima aliye na umri wa miaka 51,alifariki kwenye ajali ya ndege ya kijeshi wiki iliyopita akielekea Khata Bay kwa mazishi ya Waziri mmoja wa zamani. Rais Chakwera pia aliongoza makumi ya maelfu kuutazama mwili wa marehemu siku...

Rais Ruto arejea nchini baada ya ziara nchini Italia na Uswizi

0

Rais William Ruto amerejea nchini kutoka mataifa ya Italia na Uswizi ambako alihudhuria mkutano wa mataifa 7 yenye ustawi mkubwa kiviwanda duniani, G7 na kongamano la amani nchini Ukraine mtawalia. Rais alilakiwa katika uwanja wa ndege na viongozi wakuu serikalini akiwemo Waziri wa Usalama wa Taifa Kithure Kindiki, kiongozi wa wengi bungeni Kimani Ichung'wah, Seneta Aaron Cheruiyot na wengine. Katika mkutano...

P Diddy arejesha ufunguo wa jiji la New York

0

Mwanamuziki na mfanyibiashara Sean Combs maarufu kama P Diddy amerejesha ufunguo wa jiji la New York kulingana na ombi la Meya wa jiji hilo Eric Adams. Ombi hilo lilitolewa kufuatia kuvuja kwa video ya kamera za CCTV iliyomwonyesha Diddy akimpiga mpenzi wake Cassie Ventura mwaka 2016 katika hoteli moja. Meya Adams alimtumia Diddy barua ya kuomba arejeshe ufunguo huo aliozawadiwa Septemba...

Mama Rachel Ruto ahimiza watoto kupata elimu

0

Mama wa Taifa Rachel Ruto jana Jumapili aliongoza maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika mjini Mwatate, kaunti ya Taita Taveta ambapo alihimiza watoto kupata elimu. Mkewe Rais alisema watoto wanafaa kutumia fursa inayotolewa na serikali na washirika wa kimaendeleo kupata elimu ambayo itawasaidia siku za usoni. Kulingana naye, serikali imejizatiti kuboresha sekta ya elimu nchini kwa njia mbalimbali kama vile...

Rais wa Ukraine asema yuko tayari kwa mazungumzo ya amani na Russia

0

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kwamba yuko tayari kwa mazungumzo ya amani na Russia wakati wowote iwapo Russia itaondoa wanajeshi wake kwenye himaya za Ukraine. Lakini akizungumza wakati wa kufungwa kwa kongamano kuhusu amani nchini Ukraine lililoandaliwa nchini Switzerland, Zelensky alisema kwamba rais wa Russia Vladimir Putin hawezi kukomesha vita na ni lazima akomeshwe kwa njia yoyote ile iwe...

Uingereza na Uholanzi watamba

0

Timu ya Uingereza na Uholanzi walianza vyema kampeni ya kusaka taji la Uropa katika kinyanganyiro kinachoendelea nchini Ujerumani kwa kulaza Serbia na Poland mtawalia. Kwenye mchuano wa kundi chaa (C) uliosakatwa saa nne usiku ugani Veltins, Uingereza walimakinika na kupata bao la pekee la mchuano huo katika dakika ya 13 kupitia Jude Bellingham wa klabu ya Real Madrid. Licha ya...

Junior Starlets yafuzu kwa fainali za Kombe la Dunia

0

Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17 almaaufu Junior Starlets imejikatia tiketi ya kushiriki fainali za Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza, baada ya kuibandua Burundi jumla ya mabao 5-0 katika raundi ya nne. Kenya ilisajili ushindi wa mabao mawili kwa sufuri katika mchuano wa marudio wa raundi ya nne uliosakatwa kiwarani...

Waislamu washerehekea sikukuu ya Eid-Eil -Adha

0

Waislamu kote nchini Kenya wamejumuika katika maeneo ya kuabudu kusherehekea sikukuu ya Eid- Eil- Adha. Siku hiyo husherehekewa kwa kuchinja mifugo na kugawana na wasiobahatika katika jamii na ni kumbukumbu ya Mtume Mohammed kuwa tayari kumtoa kafara mwanawe Ismail. Siku hiyo ni mojawapo ya sikukuu katika kalenda ya Waislamu ambao huchinja mbuzi au kondoo na kula pamoja na wasiojiweza katika jamii...

Wanafunzi wahimizwa kukumbatia somo la Kifaransa

Wanafunzi hasa wa shule za upili wamehimizwa kukumbatia somo la Kifaransa kama njia mojawapo ya kukabiliana na changamoto ya uhaba wa ajira miongoni mwa vijana hapa nchini. Ni wito ambao umetolewa na wadau wa lugha ya Kifaransa katika hafla ya mashindano ya kutahini wanafunzi wa somo hilo kutoka shule mbalimbali za upili ambayo iliandaliwa katika shule ya upili ya wavulana...