LATEST ARTICLES

Watoto wa shule kupatiwa bima kamili ya SHIF

0
Serikali imewahakikishia wazazi kuwa watoto wao wanaokwenda shule watapata bima kamili chini ya mfumo mpya wa Bima ya Afya ya Jamii (SHIF), ambao unatarajiwa...

Viongozi Nandi waunga mkono matamshi ya Rais

Baadhi ya viongozi wa makanisa na wa kisiasa katika kaunti ya Nandi wameunga mkono msimamo wa Rais William Ruto na serikali yake kuhusu maandamano...

NCCK yaitaka serikali kuangazia lalama za waandamanaji

Baraza la Kitaifa la Makanisa Nchini, NCCK limetoa wito kwa serikali ya Kenya Kwanza kusikiliza vilio vya waandamanaji wanaopinga Mswada wa Fedha 2024.  Waandamanaji hao...

Mahakama ya Makadara kufungwa kwa wiki nyingine moja

0
Jaji Mkuu Martha Koome ametangaza kwamba mahakama ya Makadara itaendelea kufungwa kwa muda wa juma moja zaidi. Kwenye taarifa, Koome ambaye pia ni Rais wa...

Wetang’ula ahimiza wakazi wa eneo la kati kuunga mkono serikali ya Rais Ruto

0
Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang'ula amehimiza wakazi wa eneo la katikati mwa nchi kuendelea kuunga mkono kwa dhati serikali ya Rais William...

Leslie Muturi aachiliwa

0
Leslie Muturi ambaye ni mwanawe mwanasheria mkuu nchini Justin Muturi ameachiliwa huru. Inaripotiwa kwamba aliachiliwa jana Jumapili jioni baada ya saa kadhaa za kutoweka. Baada...

Davido kufanya harusi ya kitamaduni kesho

0
Mwanamuziki wa mtindo wa "Afrobeat" David Adeleke, maarufu kama Davido atafanya harusi ya kitamaduni kesho Jumanne, Juni 25, 2024 jijini Lagos nchini Nigeria. Davido atakuwa...

Netanyahu asema vita vitaendelea Gaza hata baada ya makubaliano ya kuvisitisha

0
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kwamba yuko tayari kwa mpango wa kusitisha vita kwa kiwang fulani na wala sio kabisa ili kuruhusu...

Uswizi na Ujerumani zafuzu awamu ya pili ya Euro

0
Mataifa ya Uswizi na wenyeji Ujerumani yameingia kwenye raundi ya timu 16 bora za mashindano ya bara Ulaya. Mataifa hayo yalitoka sare ya goli...

Gor Mahia mabingwa wa Ligi Kuu Kenya kwa mara ya 21

0
Gor Mahia wametawazwa mabingwa wa Ligi Kuu Kenya msimu wa mwaka 2023/2024 kwa mara ya 21 kwa jumla. Walitawazwa mabingwa kwa njia ya kipekee...